HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHO CHEZA LEO DHIDI YA BIASHARA UNITED

Mabingwa wa nchi, Simba leo watakabidhiwa ubingwa waliotwaa kwa msimu wa pili baada ya mchezo dhidi ya Biashara United unaopigwa uwanja wa Taifa kuanzia saa tisa Alasiri

Hiki hapa kikosi kinachoanza mchezo huo;