Hali ya Ngolo kante bado ,Mashabiki wa Arsenal wamuombea asipone

– Kocha wa Klabu ya Chelsea, Maurizio Sarri amesema kuwa kiungo mahiri wa Klabu hiyo, Ngolo Kante ana Asilimia 50/50 za kucheza au kutocheza game ya fainali ya Europa league dhidi ya Arsenal wiki hii, Mfaransa huyo anasumbuliwa na majeraha ya mguu wake.. #Updates

credit: @sokawaytz

Leave a comment