
Makala
TUONGEE KUHUSU MPIRA na kagawa10.
KIKOSI BORA CHA MSIMU KUTOKA KATIKA TIMU 20 ZA LIGI KUU(TPL)
Wakati ligi kuu ikielekea ukingoni siku ya leo, nimeona nitoe kikosi bora ambacho kitajumuisha wachezaji waliofanya vizuri katika ligi kuu ya Tanzania(tpl),wachezaji ni wengi waliofanya vizuri katika ligi yetu ya bongo ambayo inachangamoto nyingi sana hila wachezaji wamejitaidi kuonesha uwezo wao. Kikosi hiko kipo kama hivi
1. Aishi manura (simba)
2. William lusian gallas ( lipuli)
3. Bruce kangwa(azam)
4. Erasto nyoni (simba)
5. Kelvin yondani (yanga)
6. Feisal Toto ( yanga)
7. Clastus chota chama (simba)
8. Jonas gerrald mkude (simba)
9. Meddie kagere (simba)
10. Herriet makambo (yanga)
11. Ibram ajibu migomba (yanga)
Sub
1.Aron kalambo ( prison)
2. Hussein zimbwe (simba)
3. Salim ayee (mwadui)
4.Yakubu (azam)
5. Jonh Boko (simba)
6. Emmanuel okwi (simba)
7. Aggrey morris.
Wengi watajiuliza kwanini ajibu nimemuweka kwenye kikosi, jibu lao ni hivi namba hazidanganyi naazaje kumuweka nje mtu anaeongoza kwa kusaidia upatikanaj wa magoli(assist 15) kwa msimu huu japo mech nyingi alikua ayupo kutokana na matatizo binafsi na timu yake, pia kumuweka jonas mkude kama namba nane wakati asili yake ni kiungo mzuiaji, inatoka na kutumika sana eneo ilo na kufanya vizuri katika msimu uku nyuma yake akiwa saidiwa na james kotei napenda kumwita chuma.
Yote kwa yote wachezaji ni wengi hila kwangu hao nimeona wamefanya vizur sana kwa msimu mzima.
Makala hii imeandikwa na kagawa 10.
