Eden Hazard ,amalizia mechi yake ya mwisho leo akiwa Chelsea

Real Madrid imeshamwaga dau mezani kwaajili ya kumnasa Winga hatari wa Chelsea Eden hazard .Taarifa tulizo Nazo kwa sasa sports extra ni kwamba Hazard anamalizia mechi yake ya mwisho leo na Arsenal kisha anatua Real Madrid

Leave a comment