Rais wa FIFA, Gianni Infantino ametuma salamu za kutupongeza kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu 2018/2019.
Katika salamu hizo ambazo Infantino amezituma kupitia kwa Rais wa TFF, Wallace Karia, amesema amefurahishwa kusikia tumetwaa ubingwa kwa mara ya pili mfululizo. #NguvuMoja
credit: @simbasctanzania