Meddie kagere akabidhiwa kiatu chalet cha ufungaji bora

credit: @simbasctanzania…

Meddie Kagere amekabidhiwa Tuzo ya Mfungaji Bora na tovuti ya habari za michezo ya Kandanda. Katika msimu wa Ligi Kuu 2018/2019 ambao umemalizika hivi karibuni, Kagere alimaliza akiwa amefunga magoli 23 ambayo yamemwezesha kuwa mfungaji bora. #NguvuMoja

Leave a comment