Timu ya Tanzania yaanza mazoezi nchini misri

credit: @sokawaytz…

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo jioni imefanya mazoezi yake ya kwanza ikiwa nchini Misri kujiandaa na mashindano ya AFCON yatakayofanyika kuanzia Juni 21,2019,mazoezi hayo yamefanyika Uwanja wa Movenpick..

#AFCON2019 #TotalAFCON2019 #TaifaStars #zamuyetu

Leave a comment