Matokeo ya club bigwa Jana

credit: @josephjosey10_…

Matokeo hatua ya awali klabu bingwa

::

::

FT _ Big Bullets πŸ‡²πŸ‡Ό 0-0 πŸ‡ΏπŸ‡Ό FC Platinum

FT _ African Stars πŸ‡³πŸ‡¦ 3-2 πŸ‡ΊπŸ‡¬ KCCA FC

FT _ Green Eagles πŸ‡ΏπŸ‡² 1-0 πŸ‡ΏπŸ‡¦ Orlando Pirates

FT _ UD Songo πŸ‡²πŸ‡Ώ 0-0 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba SC

FT _ Green Mamba πŸ‡ΈπŸ‡Ώ 0-2 πŸ‡ΏπŸ‡² Zesco United

::

::

Cameroon yamfukuza kucha wao wa timu ya taifa

credit: @sokawaytz_…

OFFICIAL | Shirikisho la Soka Nchini Cameroon πŸ‡¨πŸ‡², Limethibitisha kumfuta kazi ya ukocha mk6uu wa timu yao ya taifa, kocha Clarence Seedorf na Msaidizi wake, Patrick Kluivert, hii imekuja Baada ya Wawili hao kuiongoza timu hiyo ya taifa kutupwa nje ya Fainali za Mataifa ya Afrika “AFCON” huko Misri.

:

– The Indomitable Lions walipokea kipigo Cha Magoli 3-2 dhidi ya Nigeria na kuondoshwa Katika hatua ya 16 Bora, Seedorf na Kluivert waliteuliwa mwezi wa Agosti Mwaka jana wakiiongoza Cameroon πŸ‡¨πŸ‡² kwa Mechi takribani 12 tu…

#Updates

@Sokawaytz_

Wachezaji wanao ongoza kwa kufunga magoli Afcon

credit: @sokawaytz_…

✍️ Wachezaji Wanne tofauti wanaongoza Msimamo wa kufunga Magoli mengi katika Fainali za AFCON zinazoendelea Ambapo Sasa Ni hatua ya Robo fainali..

:

✍🏻 RATIBA ya Mechi za Robo fainali ya AFCON 2019 hii leo.

πŸ“… Julai 10; 2019

19:00 Benin πŸ‡§πŸ‡― v Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³ (🏟 30 June Stadium).

22:00 Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ v South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ (🏟 Cairo Int’l Stadium).

#AFCON2019 #TotalAFCON2019 #AFCONUpdates

Kocha mkuu wa stars Emanuel emenike aondolewa kuinoa timu hiyo

credit: @sokawaytz_…

BREAKING NEWS

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeanza mchakato wa kumpata kocha wa muda atakayeiongoza Taifa Stars katika mechi za kufuzu CHAN dhidi ya Kenya.

TFF imefikia hatua hiyo baada ya kukubaliana kuachana na Kocha Mnigeria, Emmanuel Amunike kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya vΓ­baya kwenye AFCON.

Reposted from @giftmacha_official

Algeria yasonga mbele afcon

credit: @sokawaytz_…

– Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ ina Washambuliaji hatari ambao kwa ujumla wamefunga Magoli Tisa mpaka hatua walipo wakivuka 16 Bora kwenda Robo fainali, Pia wana Mabeki Bora ambao mpaka hatua hii hawajaruhusu kufungwa Goli hata moja kwenye AFCON 2019.

.

– Algeria ndio timu Pekee ambayo bado haijaruhusu kufungwa Goli katika Michuano ya Mataifa ya Afrika, Pia ndio timu Pekee ambayo imefunga Magoli mengi zaidi katika Michuano.

#AFCONUpdates #TotalAFCON2019

@Sokawaytz_

Emanuel emenike matatami tanzania

credit: @sokawaytz_…

– Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kuzungumzia tathmini ya ushiriki wa timu hiyo kwenye michuano ya #AFCON2019 inayoendelea nchini Misri ambapo @taifastars_ imeondoshwa Baada ya kufungwa game zote tatu za hatua ya Makundi.

.

– Kwa Ujumla, Amunike ambaye Ni legend wa Nigeria, akiwa Kama kocha wa Timu ya taifa ya Tanzania, kaiongoza katika Michezo 10, Akipoteza Mara Sita na Ushindi Mara mbili kisha Sare Mara mbili..

#Updates #TaifaStars

South Africa yaiondoa egypt kwenye mashindano ya Afcon

credit: @sokawaytz_…

Mpira umekwisha Cairo International Stadium… Wenyeji wa AFCON 2019, @pharaohsofficial wametupwa nje ya Michuano baada kupokea kipigo kutoka kwa Bafana Bafana walioonesha kiwango Bora mno πŸ™Œ… Baada ya Ushindi huu Sasa Afrika Kusini wanakutana na Nigeria katika Mchezo wa Robo fainali siku ya Julai 10 mwaka huu.

:

Misri πŸ‡ͺπŸ‡¬ 0-1 πŸ‡ΏπŸ‡¦ Afrika Kusini

[Thembinkosi Lorch]

#AFCON2019 #EGYRSA

Matokeo ya jana na mechi za leo

credit: @sokawaytz_…

MATOKEO YA SOKA JANA IJUMAA NA RATIBA YA HII LEO.

:

– Africa Cup of Nations – Round of 16.

AET Morocco 1 – 1 Benin *

FT Uganda 0 – 1 Senegal

.

– International – Club Friendlies.

FT Hobro 0 – 0 Fredericia

FT AC Horsens 0 – 4 AaB

FT FC Ufa 0 – 1 Viktoria Plzen

FT FC Twente 0 – 0 Al-Wahda

FT Austria Wien 2 – 1 Banik Ostrava

FT Sparta Rotterdam 1 – 0 Zaglebie Lubin

FT Xamax 1 – 5 FC Stade Lausanne-Ouchy

FT Grazer AK 2 – 0 Middlesbrough

FT LASK 1 – 0 Sparta Prague

FT Rijeka 1 – 2 PFC Sochi

FT Rubin Kazan 0 – 0 FC Tambov

FT Shakhtar Donetsk 2 – 1 FC Koebenhavn

FT AS Beziers 0 – 0 Nimes

FT FC Krasnodar 0 – 2 Ural

FT FK Akhmat 1 – 1 Inter Zapresic

FT Slovan Liberec 0 – 1 Dinamo Moscow

FT SpVg Frechen 20 1 – 7 1. FC KΓΆln

FT VVV-Venlo 3 – 3 St.Truiden

FT Wolfsberger AC 1 – 0 SK Austria Klagenfurt

FT FC Emmen 1 – 1 PEC Zwolle

FT FC Groningen 2 – 0 Ross County

FT Kortrijk 2 – 0 OH Leuven

FT Lugano 2 – 2 Chiasso

FT SC Heerenveen 5 – 4 SV Meppen

FT Taffs Well 1 – 5 Cardiff City

FT AFC Wimbledon 0 – 3 Brentford

:

RATIBA YA HII LEO JUMAMOSI.

– Copa America – 3rd place W.

22:00 Argentina

Chile

.

– World Cup Women – 3rd place W.

18:00 England

Sweden

.

– Africa Cup of Nations – Round of 16.

19:00 Nigeria

Cameroon

22:00 Egypt

South Africa

#fixtures #Updates

@Sokawaytz_

Uganda warejea tena mazoezini baada ya kugoma

credit: @sokawaytz_…

– Baada ya Majadiliano ya Takribani Masaa Manne ya Viongozi wa Soka wa Uganda na Wachezaji wa timu hiyo ya taifa @ugandacranes, hatimae wamefikia Makubaliano na Wachezaji wamerejea kuanza Mazoezi ya kujiandaa na Mchezo wa hatua ya 16 ya AFCON dhidi ya Senegal.

:

– Wachezaji hao waligoma kufanya mazoezi kwa kile kilichoripotiwa kuwa wanadai posho zao, hivi Sasa mambo yapo shwari kocha Sebastien Desabre anaongoza Maziezi ya kuwavaa Senegal kesho Ijumaa Usiku.

#AFCONUpdates #TotalAFCON2019 #UgandaCranes