Kibabage amfuata Msuva difaa Morocco

credit: @simbamakini…

KIBABAGE AMFUATA MSUVA DIFAA

Mlinzi wa kushoto wa Mtibwa Sugar, Nickson Kibabage amesaini mkataba wa miaka minne kuitumikia klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco ambayo anachezea Mtanzania, Simon Msuva.

Kibabage aling’ara na kuonekana akiwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kilichoshiriki michuano ya Afcon nchini Gabon mwaka 2017.

Source: Boiplus Media

Leave a comment