Nigeria yaipiga Burundi Afcon

credit: @sokawaytz…

FULL-TIME | Alexandria Stadium, ALEXANDRIA.. Ikiwa ni Michuano yao ya kwanza kabisa katika Historia Burundi wanaanza Kwa kupoteza.. Burundi wamecheza Soka saafi kabisa lakini Nigeria wamepata goli kutumia uzoefu wao wa Mashindano Baada ya kosa dogoo kufanywa na Beki wa Burundi.. Well Done Intamba m’Urugamba bila Shaka Nigeria hawakutegemea 👊👏👏.

:

Nigeria 🇳🇬 1-0 🇧🇮 Burundi

[Odion Jude Ighalo 77mins]

#TotalAFCON2019 #AFCONUpdates

Leave a comment