Vitalis mayanga ajiunga na KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja

credit: @kmcfc_official…

Done deal: Mshambuliaji VITALIS MAYANGA amejiunga na klabu ya KMC kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea klabu ya Ndanda fc.

Karibu sana Mayanga kwa wana #kinoboys.

#kinoboys

#kimataifazaidi

Leave a comment