Lampard kocha mpya Chelsea

credit: @sokawaytz_…

– Ni rasmi sasa Meneja wa Derby County, Frank Lampard amerejea Chelsea baada ya mchezaji huyo wa zamani wa blues kutia saini mkataba pauni milioni 4 kwa mwaka..

.

– Frank Lampard amekubali ofa ya The blues na Mkataba wa kurejea Kama kocha Stamford Bridge Uthibitisho wake ni muda wowote kuanzia Sasa.. Klabu ya Derby Pia imemruhusu kocha huyo kutohudhuria mazoezi ya Maandalizi ya msimu mpya ili amalizane kabisa na Chelsea.

.

– Chelsea itanunua Mkataba wa miaka miwili uliosalia wa Lampard na Derby unaokadiliwa kuwa ni £4m ($5m) ili kuja kuchukua mikoba ya Muitaliano, Maurizio Sarri, ambaye kajiunga na Juventus kwa £5m ($6m)… Lampard 41, anarejea The Blues baada ya kupita Kama Mchezaji akicheza kwa miaka 13 na kucheza games 649 na kufunga Magoli 211..

#EPLTransfersUpdates #transfersUpdates

Leave a comment