_…
– Klabu ya Leicester City ipo hatua za mwisho kulamba dume… Kwa mujibu wa @skysports, Newcastle United imekubali dau la £30m kuuza Mshambuliaji wao matata aliyewaokoa Mara kwa Mara msimu uliopita, Ayoze Perez..
.
– Perez 25, Raia wa Hispania amekubali maslahi binafsi ya kimkataba kujiunga na The Foxes na atafanyiwa vipimo vya afya muda wowote kukamilisha dili hilo.
#EPLTransfersUpdates