Paulo Diabala apewa tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya kutafuta mshindi wa 3 copa America thidi ya Chile

credit: @sokaonline_…

Paulo Dybala jana aliibuka mchezaji bora wa mechi “Man Of The Match” katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Copa America dhidi ya Chile. .

.

Argentina walishinda 2-1 mabao yakifungwa na Dybala na Aguero wakati la Chile likifungwa na Arturo Vidal kwa mkwaju wa penati.

Leave a comment