Algeria yasonga mbele afcon

credit: @sokawaytz_…

– Algeria 🇩🇿 ina Washambuliaji hatari ambao kwa ujumla wamefunga Magoli Tisa mpaka hatua walipo wakivuka 16 Bora kwenda Robo fainali, Pia wana Mabeki Bora ambao mpaka hatua hii hawajaruhusu kufungwa Goli hata moja kwenye AFCON 2019.

.

– Algeria ndio timu Pekee ambayo bado haijaruhusu kufungwa Goli katika Michuano ya Mataifa ya Afrika, Pia ndio timu Pekee ambayo imefunga Magoli mengi zaidi katika Michuano.

#AFCONUpdates #TotalAFCON2019

@Sokawaytz_

Leave a comment