Uganda wavunja mkataba na Kocha mkuu wa Uganda cranes Sebastiane desabre

credit: @sokawaytz_…

#BREAKING

Shirikisho la Soka Nchini Uganda “FUFA” limevunja Mkataba na Kocha Mkuu wa Uganda Cranes, Sebastien Desabre Kwa makubaliano maalumu.

:

– Katika Taarifa ya Shirikisho hilo wamesema kuwa “FUFA inatambua mchango wa Kocha Desabre kwa kuboresha timu kimichezo na kitaaluma katika Kikosi Cha Uganda Cranes ikiwa ni pamoja na kufuzu kwa AFCON 2019 huko Misri na pia kufika hatua ya 16 Bora kisha kuondoshwa hatua hiyo.

:

– Sebastien Desabre Raia wa Ufaransa, anatajwa kuwa Ni chaguo Namba moja kwa Mabosi wa Klabu ya Al Ahly. Kutimuliwa huku itakuwa nafasi kwake kujiunga na Mabingwa hao wa Kihistoria Barani Afrika..

@sokawaytz_

Leave a comment