Barcelona wanaweza kumsajili Antoine greizman mda wowote kuanzia sasa

credit: @sokawaytz_…

✍🏻 Barcelona inakaribia kumsaini mshambuliaji wa Kimataifa wa Ufaransa, Antoine Griezmann kutoka Atletico Madrid muda wowote kuanzia Sasa.

.

✍🏻 Kwa mujibu wa Ripoti kutoka Barcelona, zinasema kuwa Mabingwa hao wa Laliga hii Leo Ijumaa watawasilisha Release clause ambayo €120m (Β£107m/$134m) kwenda Atletico Madrid tayari kumsajili Griezmann ambaye tayari Alithibitisha kutoendelea kuitumikia Klabu hiyo..

#transfersUpdates #TransferNewsUpdates

Leave a comment