
– Mabingwa Watetezi wa Michuano ya CECAFA Kagame Cup, Klabu ya Azam FC imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali ya Michuano hiyo kufuatia kuwatupa nje Mabingwa wa zamani wa Afrika na Mabingwa wa DR Congo π¨π©, Klabu ya TP Mazembe…
:
FULL-TIME : Azam FC 2-1 TP Mazembe
[Seleman Iddi 27; Obrey Chirwa, 69 | Ipamy Giovanni 21]
.
βοΈ Baada Ushindi huo, Azam FC itamjua mpinzani wake Siku ya kesho Mshindi Kati ya APR FC ya Rwanda π·πΌ au AS Meniema ya kutoka pia DR Congo π¨π©..
#CECAFAKagameCup #KagameCup2019