
credit: @sokawaytz_…
– Mabingwa wa Ligi Kuu Nchini Uturuki 🇹🇷, Klabu ya Galatasaray wameingia Katika mbio za kuwania saini ya Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania 🇹🇿, Mbwana Samatta kutoka Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji 🇧🇪.
.
– Mabingwa hao wanakuwa Ni Klabu ya Nne kumtaka Samatta Ambaye Ni Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania 🇹🇿, Baada ya Leicester City, Cardiff City na Middlesbrough zote za Uingereza.. Genk ipo tayari kumuachia mfungaji wao Bora huyo kwa msimu uliopita akifunga Magoli 32 Kwenye Michuano yote, lakini kwa dau lisilopungua £10m (Tshs 28b).
#TransferNewsUpdates
@Sokawaytz_