Diego costa afumua madrid

credit: @sokawaytz…

Real Madrid na Thibaut Courtois Alichowafanya Diego Costa hawata msahau 😅😅… Mnyama Baada ya kuhakikisha kapiga goli Nne mpaka Dakika ya 51, Anapewa Kadi Nyekundu na Kwenda kupumzika Dakika ya 61 🙄🙌😄😄.

#ICC2019 #RealMadrid #AtleticoMadrid #elclassico2019⚽️🔥🔥🔥

Leave a comment