Madrid yaingiwa na hofu juu ya luka Jovic

credit: @sokawaytz…

– Real Madrid imeingiwa na hofu juu ya Majeraha ya Mshambuliaji wao wa Kimataifa wa Serbia, Luka Jovic aliyopata Alfajiri ya kuamkia leo Katika Mchezo wa Maandalizi ya Msimu Mpya dhidi ya Majirani zao Atletico Madrid, Jovic aluchuana na mlinda lango wa Atletico Madrid Jan Oblak Katika Dakika ya 24 ya mchezo huo.

.

– Baada ya Matibabu Dakika kadhaa ilijulikana kapata Majeraha Katika kufundo chake Cha Mguu na Pia iligundulika kuwa Hawezi Kuendelea na Mchezo na nafasi yake kuchukuliwa na Mfaransa, Karim Benzema.

.

– Jovic mwenye umri wa Miaka 21, Bado hajaitumikia Madrid Katika Mechi za Kimashindano kwani msimu huu ndio wa kwanza akiwa na jezi ya Klabu hiyo ya Mabingwa wa Kihistoria Barani Ulaya tangu Asajiliwe kutoka Klabu ya Frankfurt ya Ujerumani kwa ada ya uhamisho wa €70m… Akitoka na kuiacha Klabu yake ilipokea kipigo Cha Magoli 7-3..

#Updates #RealMadrid

@Sokawaytz_

Leave a comment