Chelsea yashindwa kutamba mbele ya burrusia m’gladbach

credit: @sokawaytz…

FULL-TIME: Borussia M’gladbach 2-2 Chelsea

:

– The Blues hii leo wanahitimisha Mechi zao za Kirafiki kwa kupata Sare ya come back, wakipigwa Mbili Mpaka Mapumziko, na kuchomoa yote Kipindi Cha Mbili kwa Penati zikifungwa na Tammy Abraham na Kiungo, Ross Barkley Wakati Wajerumani hao wakipata magoli kupitia kwa, Alassane Plea na Jonas Hofmann… Agosti 11 Chelsea wataanza Rasmi harakati zao Katika Premier league dhidi ya Manchester United!!..

Leave a comment