![]()
credit: @sokawaytz…
DONE DEAL: Klabu ya Newcastle United Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa Winga, Allan Saint-Maximin kutoka Klabu ya OGC Nice ya Ufaransa… Nyota huyo wa timu ya taifa ya Ufaransa U21 Amesaini Mkataba wa Miaka Sita kuitumikia Klabu hiyo kwa ada ya uhamisho £16m.
#EPLTransfersUpdates
@Sokawaytz_