
credit: @sokawaytz…
– Everton Imethibitisha Kukamilisha Uhamisho wa kiungo kutoka Klabu ya Mainz ya Ujerumani, Jean-Philippe Gbamin Kwa mkataba wa miaka mitano kwa ada ya uhamisho £25m.
.
– Kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast, 23, anachukua nafasi ya Idrissa Gueye, ambaye amejiunga na Paris St-Germain kwa pauni milioni 30… Gbamin, kucheza jumla ya mechi 11 na timu yake ya taifa zikiwemo game tatu Katika Michuano ya AFCON 2019..
#EPLTransfersUpdates
@Sokawaytz_