Toteham yapata kifaa kipya

credit: @michezo_online…

Deal Don__Klabu ya Tottenham Hotspur imenasa sain ya kiungo wa @slbenfica @gedson_83 mwenye umri wa miaka 21 kwa mkopo wa miez 18 huku ndan ya kandaras hiyo kukiwa na kipengele cha kumnunua jumla kiungo huyo kwa paund million 42.76

Leave a comment