ARSENAL: Kiungo Huyu kiokosa Newcastle

Kiungo wa klabu ya Arsenal Granit Xhaka anatarajia kuukosa mchezo ujao wa Ligi Kuu Uingereza dhidi ya Newcastle Utd wikiendi hii kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Denmark siku ya Jumanne uliomalizika kwa sare ya mabao 3-3.
.
Xhaka alifunga bao moja katika mchezo huoCc: sokaonlineupdates