Category: kimataifa
DORTIMUND: Wagoma Kumuuza Jadon Sancho
Klabu ya Borussia Dortmund imesema mchezaji wake Jadon Sancho hatauzwa kwenda kwenye klabu yoyote mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. (Dail Mail)
TAIFA STARS Yaendelea Na MAZOEZI Leo
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania @taifastars_ kinaendelea kujifua Uwanja wa Taifa kujiandaa na mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Fainali za Afrika dhidi ya Uganda utakaochezwa Jumapili Machi 24,2019
CRISTIANO RONALDO Apigwa Faini #Style ya USHANGILIAJI
Breaking | Uefa wamempiga faini ya Euro 20,000 mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo kutokana na style aliyotumia kushangilia moja ya magoli yake dhidi ya Atletico Madrid.
Hivyo Ronaldo yupo huru kukipiga kwenye mchezo ujao wa robo fainali dhidi ya Ajax
DORTMUND: na Callum Hudson Odo
Klabu ya Borussia Dortmund inajipanga kuanza mazungumzo na klabu Chelsea ili kuona uwezekano wa kumpata mshambuliaji wake Callum Hudson Odoi ili kuwa mbadala wa Jadon Sancho endapo atatimkia Man United.
.
Licha ya kusisitiza kuwa hawatamuuza nyota huyo BVB wanahofia huenda wakalazimika kumpiga bei ifikapo mwishoni mwa msimu huu ikiwa kama Sancho atahitaji kuondoka.
AJAX : Beki na nahodha wa klabu ya Ajax Matthijs De Ligt amemwambia wakala wake Raiola kuwa kwasasa haangalii pesa
Beki na nahodha wa klabu ya Ajax Matthijs De Ligt amemwambia wakala wake Raiola kuwa kwasasa haangalii pesa ila kucheza Fc Barcelona ni ndoto aliyokuwa nayo tangu akiwa mtoto.
.
De Ligt ni moja ya mabeki bora kwasasa wanaowindwa na vilabu vikubwa barani Ulaya
Full Time : Bayern munchen 6-0 Mainz
Full Time. Everton 2-0 Chelsea
Full Time.
Everton 2-0 Chelsea
Richarlison ⚽
Sigurdsson ⚽
#Epl
Timu 8 Zilizofuzu Hatua Ya Robo Fainali Ya Klabu Bingwa Afrika 2018/19
Timu 8 Zilizofuzu Hatua Ya Robo Fainali Ya Klabu Bingwa Afrika 2018/19
#wapendasokaupdates
#CAFCL
MATOKEO Mechi Za Kundi D CAF













