Victor Lindelof ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Sweden baada ya kumpiku Zlatan. Zlatan hapo awali alitwaa tuzo hiyo miaka 11 mfululizo.
Unadhan amestahili?