Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Vijana umri chini ya miaka 23 kimeelekea nchini Burundi kwa ajili ya mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2019.
Vijana hao watachuana na Burundi kesho Jumatano, Novemba 14, 2018.
Stars U23 imeondoka leo kwa usafiri wa ndege ya Air Tanzania