Manara kuweka hadharani mkakati wa kuimaliza TP Mazembe sportextratz michezo, simba April 2, 2019 1 Minute Kuelekea maandalizi ya mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe, msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara kesho Jumanne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari Share this: Share on X (Opens in new window) X Share on Facebook (Opens in new window) Facebook Like Loading... Related Published by sportextratz View all posts by sportextratz Published April 2, 2019