Matukio katika picha : Yanga ilivyoifumua African Lyon

Jana Yanga iliendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kuifumua African Lyon mabao 2-0

Matokeo hayo yameiweka African Lyon matatani kwani itahitaji muujiza ili iweze kubaki ligi kuu msimu ujao

Picha za matuko mbalimbali katika mchezo huo;