Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho kabla ya safari ya kuelekea Lubumbashi DR Congo kuikabili TP Mazembe kwenye mchezo wa pili wa robo fainali ligi ya mabingwa barani Afrika
Mchezo dhidi ya TP Mazembe utapigwa keshokutwa Jumamosi, saa kumi jioni
Simba itaondoka nchini kesho Ijumaa, April 12 2019