Mabingwa watetezi ligi kuu ya Tanzania Bara Simba leo wanashuka uwanja wa CCM Kirumba kuikabili Alliance
Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoshuka dimbani leo
( MECHI HII TUTAIRUSHA LIVE HAPA CHAKUFANYA KAMA BADO HUJAUPDATE APP HII FANYA HIVYO SASA ILI USISUMBUKE ZAIDI )