Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaondoa waamuzi waliochezesha mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya KMC dhidi ya Simba uliopigwa jana uwanja wa CCM Kirumba
Kulingana na taarifa iliyotolewa na TFF, Waamuzi hao wanatuhumiwa kuchezesha mchezo huo chini ya kiwango
Katika mchezo huo Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1