Kamati za Utendaji, Hamasa Yanga kuzungumza na wanahabari leo sportextratz michezo, yanga May 15, 2019 1 Minute Kamati ya Utendaji ya Yanga pamoja na Kamati ya Hamasa leo Jumatano, May 15 2019 zitafanya Mkutano na waandishi wa habari Mkutano huo unatarajiwa kuanza saa sita mchana Makao Makuu ya klabu hiyo, mtaa wa Twiga na Jangwani jijini Dar es salaam Share this: Share on X (Opens in new window) X Share on Facebook (Opens in new window) Facebook Like Loading... Related Published by sportextratz View all posts by sportextratz Published May 15, 2019