Azam FC imesitisha mazungumzo ya mkataba mpya na nyota wake Obrey Chirwa.

Imeripotiwa kuwa uongozi wa klabu ya Azam FC ya Dar Es Salaam umesitisha mazungumzo ya mkataba mpya na nyota wake Obrey Chirwa.
.
.
Taarifa za awali kutoka ndani ya uongozi wa klabu hiyo zinasema watafanya uamuzi wa kuendelea au kutoendelea na Chirwa mara baada ya fainali ya kombe la shirikisho la ASFC.

Leave a comment