LUGOLA – Mgeni Rasmi Sherehe za UBINGWA – SIMBA

Simba kesho itakabidhiwa ubingwa wa ligi kuu baada ya mchezo dhidi ya Biashara United utakaopigwa uwanja wa Taifa kuanzia saa tisa Alasiri

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza mgeni wa heshima wa mchezo huo atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mh Kangi Lugola

Leave a comment