ā Emmanuel Okwi juu ya Ujumbe wake katika mtandao wa Instagram uliozua sintofahamu kwa Mashabiki wake na Klabu yake ya @simbasctanzania kwamba je ni kweli ameaga kuachana Mabingwa hao.
:
š “Nimeweka ujumbe huo sikuwa na maana yoyote zaidi ya wimbo mmoja ambao naupenda na umejizolea umaarufu na wapenzi wa Simba wasiwe na wasiwasi wowote kuhusu hilo,” alisema Okwi.
.
– Okwi amekuwa akihusishwa kutimka ndani ya Klabu ya @simbasctanzania Kipindi hiki ambacho Mazungumzo ya Kusaini Mkataba mpya na Klabu yake yamepungua.. @kcfcofficial ya Afrika Kusini ndio Klabu inayotajwa kumuhitaji.
#simbasc #transfers
@Sokawaytz
credit: @sokawaytz