Astovilla warudi tena ligi kuu ya England

HT: Aston Villa 1-0 Derby County

:

– Anwar El Ghazi ndio mfungaji wa goli La Aston Villa, Mmorocco huyo kafunga Dakika ya 44.. Ikumbukwe hii ni fainali ya Playoff na mshindi anapanda kucheza @premierleague msimu ujao..

#Updates

credit: @sokawaytz

Leave a comment