
SENEGAL WATENGA BILIONI 12 KUELEKEA AFCON
.
Waziri wa michezo wa Senegal ametangaza bajeti ya takriban shilingi bilioni 12 ya Timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa ajili ya kuwania taji la Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. (AFCON 2019) nchini Misri. .
senegal wataanza kuwania kombe hilo kwa mchezo wa kwanza dhidi Taifa Stars Juni 23
credit: @sokaonline_
