
credit: @sokawaytz…
– Mshambuliaji wa Klabu ya Alliance FC, Bigirimana Blaise ameripotiwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Namungo FC iliyopanda kucheza Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 ikitokea FDL 2018/19.
.
– Kwa mujibu wa chanzo cha ndani kutoka katika klabu ya Namungo Ni kwamba wamefanikiwa kunasa saini ya mchezaji huyo baada ya kumalizana na timu yake ya Alliance; Blaise alijiunga na Alliance akitokea Stand United ambayo ilishindwa kumlipa maslahi yake ya mshahara sambamba na fedha yake ya usajili..
#updates #transfers