Kiungo wa Manchester United Paul Pogba Akataa kubaki man united

credit: @sports extra..

HIVI PUNDEE!!.

– Kiungo wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba amethibitisha kuwa ataondoka ndani ya klabu ya Manchester United na kwenda kutafuta changamoto nyingine tofauti na Manchester.

:

— “Kwangu mimi, nimekuwa kwa miaka mitatu hapa Manchester na nimekuwa nikifanya vizuri; nimepitia changamoto nzuri na changamoto mbaya ndani yake..

— “Baada ya msimu huu na kila kitu kilichotokea msimu huu, ni msimu wangu bora pia … Nadhani kwangu inaweza kuwa wakati mzuri wa kuwa na changamoto mpya mahali pengine…. “Ninafikiria hili: kuwa na changamoto mpya mahali pengine.”

:

– Mfaransa huyo Aliwasili Manchester United akitokea klabu ya Juventus mwaka 2016, tangu hapo mpaka Sasa amefunga mabao 31 na kutoa assist 29..

#Updates #transfers

Leave a comment