Timu ya Tanzania yadroo na Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki

credit: @sportsextra…

#FriendMatch

FULL-TIME: Zimbabwe 1-1 Tanzania

:

Goli Limesawazishwa na Nahodha, Mbwana Samatta Baada ya Zimbabwe kutangulia… Sasa Maandalizi yotee kujindaa Senegal katika AFCON…

#zamuyetuafcon2019 #zamuyetu2019🇹🇿⚽

Leave a comment