Simba wapata Kifaa kipya toka Sudan

credit: @sokaonline_…

#Repost @simbasctanzania Kiungo Bora mara mbili mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan na mchezaji wa timu ya Taifa ya Sudan tangu akiwa na miaka 17 akitokea kwa mabingwa mara tatu mfululizo wa Ligi Kuu ya Sudan klabu ya Al Hilal, Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman amejiunga na Mabingwa wa nchi kwa mkataba wa mwaka mmoja. Karibu Msimbazi Sharaf.

Leave a comment