
credit: @sokawaytz…
– Wachezaji wa timu ya taifa ya Zimbabwe πΏπΌ wamekubali kucheza mchezo wao wa Ufunguzi wa fainali za AFCON 2019 dhidi ya Misri πͺπ¬ kesho usiku baada ya kukutana na Viongozi wa Soka wa nchini Zimbabwe.
:
– The Warriors walikatisha ghafla mazoezi yao jioni ya leo Sababu ya kutolipwa Posho zao na Bonasi ambazo walitakiwa kuanza kupewa tangu walipo ingia kambini na timu yao ya taifa… Walitishia kutocheza game ya kesho lakini Sasa mambo Shwarii ππ»ππ»..
#TotalAFCON2019
@Sokawaytz