
credit: @sokawaytz…
👉👉 Muda huu Dimba la Cairo International Stadium limejaaa… Mamia ya watazamaji wameingia na kujaza uwanja kutazama uzinduzi wa fainali za AFCON 2019 ambapo wenyeji Misri watakipiga dhidi ya The Warriors timu ya taifa ya Zimbabwe…
#AFCONUpdates
Kila laheri kwa Kenya na Tanzania.
LikeLiked by 1 person