#tetesizausajili Klabu ya Yanga Sc imerejesha nguvu zake kuwania beki wa kushoto wa klabu ya Rayon Sports Eric Rutanga endapo watashindwana na beki wake Gadiel Michael. .

.

Imeelezwa mpaka sasa Yanga Sc bado hawajamuongezea mkataba mpya beki wake ambaye anatajwa kujiunga na Simba Sc.

Leave a comment