credit: @sokawaytz_…
– Mbio za kuwania viti Maalumu, yaani Best loser katika fainali za Mataifa ya Afrika 2019.. Huu ndio Msimamo unavyosimama kwa timu ambazo zinashika nafasi ya tatu baada ya game za jana Kundi A na B kufikia tamati… Ikumbukwe ni Timu Nne tu zinatakiwa..
1. 🇬🇳 Guinea (4pts)
2. 🇨🇩 DR Congo (3pts)
3. 🇿🇦 South Africa (3pts)
4. 🇰🇪 Kenya (3pts)
5. 🇧🇯 Benin (2pts)
6. 🇦🇴 Angola (2pts)
.
– Ni DR Congo na Guinea pekee ndio wamecheza mechi zoote tatu katika Makundi yao… Huku Timu zilizoaga Rasmi Mashindano haya ni tatu..
1. 🇿🇼 Zimbabwe 1pts
2. 🇧🇮 Burundi 0pts
3. 🇹🇿 Tanzania 0pts
#AFCONUpdates
@sokawaytz_