credit: @sokawaytz_…
OFFICIAL | Here we go!! Wababe wa Mkoa wa Iringa, Klabu ya Lipuli FC imefanikiwa kumrejesha nyumbani aliyewahi kuwa kocha wao Mkuu, Amri Saidi… Kocha Amri Saidi kabla ya kutua Lipuli kwa Mara ya pili alikuwa kocha wa Biashara United ya Mara msimu uliomalizika.
.
– Muda wowote kianzia Sasa Wana paluhengo hao watatamgaza urejeo wa Kocha Amri Saidi tayari kwa Maandalizi ya msimu ujao… Msimu uliopita, Lipuli iliongozwa na kocha Samweli Moja akisaidiwa na Kocha Seleman Matola.
#TPLTransferUpdates
@Sokawaytz