Mlinda mlango Buffon anakaribia kukamilisha vipimo vya afya ila kujiunga na juventus

credit: @sokawaytz_…

Bentornato @gianluigibuffon πŸ™ŒπŸ™Œβš«βšͺ…

Mlinda lango Mkongwe, Buffon amewasili viunga vya Turin tayari kukamilisha vipimo vya afya na Kusaini Mkataba wa mwaka Mmoja kuitumikia Juventus.

#SerieATransfersUpdates #transfersUpdates

Leave a comment